:::: MENU ::::
  • Suitable for all screen sizes

  • Easy to Customize

  • Customizable fonts.

Monday 4 June 2018

Kubadili IMEI ya simu ni huduma unayoweza kuifanya kwenye simu ambazo ni rooted na ambazo hazija fanyiwa rooting. Leo nitawaonyesha jinsi ya kubadili IMEI kwenye simu ambazo hazija fanyiwa root, ila inaweza kuleta madhara pindi utakapo kosea hatua ninazo onyesha hapa,so be careful.
Jinsi ya kubadili IMEI ya simu bila ku-root simu yako:-
1. Download and install app ya mobile uncle app kutoka playstore kwenye simu yako
2. Ikishamaliza ku-install fungua mobile uncle app
3. Kisha chagua Engineering mode (MTK)
4. Shuka chini kisha bonyoza CDS Information
5. Chagua Radio information.
6. Ukisha chagua radio information utakuta option mbilihapo utachagua “Phone 2”
7. Baada ya hapo utaona option kama hii AT, Apo utaingiza AT (IMEI namba mpya) mfano (AT 000000000000000) ziwe tarakimu 15
8. Kisha bofya Send at command
9. Restart simu yako
Baada ya hapo utakuwa umefanikisha zoezi la kubadili IMEI ya simu yako unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha kwa kupiga *#06#...
Try at your own risk
Kwani ukifanya hivi kwenye simu ambazo zimefungiwa na TCRA kwa kuwa ni fake utakua umevunja sheria za TCRA mimi sitahusika. Nimetoa njia hii ni kwa kujifunza tu…
Imeandalwa na Lewis.

3 comments:

  1. Hii elimu ya mabo ya simu naitafuta sana kwa ukamilifu wake.kwenye nayo anilink.number 0712073728/0789413403

    ReplyDelete
  2. Hii njia vipi unaweza saidia Kwa cm zinazotumia Lain moja mfano Vodafone itumie Lain zote au cm za promotion

    ReplyDelete
  3. IMEI utazitoa Wapi? Au utabuni namba zozote bora zifike 15?

    ReplyDelete

A call-to-action text Contact us