1. Zima computer kwa kutumia start menu
Hii ninjia rahisi sana nadhani kila mtumiaji wa computer atakua anaifahamu vizuri. Cha kufanya ni kubofya start key kisha bonyeza shutdown.
2. Kutumia Alt + F4 button.
Bonyeza Alt + F4 kisha select shutdown. Sasa unachotakiwa ni kubonyeza OK ili kuzima computer yako.
Njia hii inafanya kazi katika vision zote za windows
3. Zima computer kwakutumia Run command.
Fungua Run program kwa kubonyeza Win key + R kwenye keyboard yako. Kisha andika shutdown /s kisha bonyeza Enter ilikuzima computer yako.,
4. Zima computer yako kupitia command prompt.
Bonyeza win key kwenye keyboard yako kisha search CMD, ifungue. Kisha andika kwenye command prompt shutdown /s kisha bonyeza enter, PC yako itazimika.
5. Zima computer yako kwa kupitia slidetoshutdown.exe program.
Fungua Run program kwa kubonyeza Win key + R kwenye keyboard yako. Kisha andika slidetoshutdown.exe kisha bonyeza Enter ilikuzima computer yako.,
6. Zima computer kwa kutumia Win + X kwenye window 10.
Njia hii inafanya kazi kwenye window 10 tu. Bofya Win + X kisha select shut down ili kuzima window 10.
Kwenye windows 7 ukibofya Win + X utafungua window mobility center.
7. Zima computer kupitia lockscreen.
Lock screen ya computer yako kwa kubonyeza kwa pamoja Win + L kisha bonyeza shutdown icon, computer itazima.
8. Zima computer kwa kutumia shortcut icon.
Rightclick kwenye desktop kisha select New> Shortcut. Kisha andika command ifuatayo:- %windir%\system32\shutdown.exe -s -t 0 kisha bofya next ili kuendelea kisha andika jina la shortcut yako shutdown alafu bofya finish.
Utakapo bonyeza ili kufungua hii shortcut computer itazimika.
Njia hii inafanya kazi katika vision zote za windows.
Imeandaliwa na #Mr_Lewis.
Thanks for your attention.
Thanks for visit this blog.
Thanks for read this post.
Asant
ReplyDeleteNaitaji kujigunza Ku hack SMS za WhatsApp pila kushika simu ya muhusika
ReplyDelete