:::: MENU ::::
  • Suitable for all screen sizes

  • Easy to Customize

  • Customizable fonts.

Thursday 19 April 2018


NJIA YA KWANZA:
1.   Fungua cmd run as administrator. Ili kufanya ivyo…
·         Bofya Start Key kisha andika cmd.
·         Right click cmd kisha bonyeza run as administrator.
2.   Kisha andika kwenye cmd code zifuatazo:-
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
kisha bofya Enter.
Mpaka hapo utaona cmd inaanza kuscan driver uliyo ichagua nakuondoa shortcut virus zote.
Mfano nataka kuondoa virus kwenye drive H. code zangu zitakoa hivi:
                        attrib -h -s -r -a /s /d H:*.*
kisha ntabofya Enter
kama ikishindikana kuondoa shortcut virus kwa kutumia cmd jaribu njia ya pili kwa kutumia notepad.

NJIA YA PILI:
Toa Shotcut virus kwa .bat file unaweza tengeneza .bat file kwa kutumia Notepad katika computer yako, Fungua Notepad kwa ku-bofya window key + R kisha andika Notepad  alafu utabonyeza Enter. Copy code hapa chini kisha paste kwenye Notepad
@echo off
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
@echo complete
Badilisha Driver name kwa jina la flash yako
Save notepad file kama removevirus.bat kisha save. Hakikisha umesave file yako kwenye ya desktop

Kisha fungua file yako uliyo save katika Desktop kwa ku-double click, Baada ya hapo shotcut virus wote watatoka.
Imeandaliwa na Mr_Lewis.
Thanks for your attention.
Thanks for visit this Blog.
Thanks for read this post.

Matumaini yangu ni mzima wa afya…
Leo nina somo dogo tu na rahisi mno. Ni namna gani unaweza ukaongeza kasi ya ku-download kwenye IDM.. Kama huna software hii ya IDM basi ni vizuri ukaitafuta kwani inamsaada mkubwa kwenye masuala ya ku-download, nakama unayo naunaitaji kuongeza kasi ya ku-download kwenye IDM yako basi fuata hatua zifuatazo:-
1.    Fungua program ya IDM.
2.    Kisha bofya kwenye Options.
3.    Baada ya hapo utachagua connection.
4.    Kisha kwenye connection type speed chagua High speed: Direct connection (Ethernet/Cable) / Wi-Fi / Mobile 4G / other.
5.    Kisha kwenye defaelt max. conn. Number chagua 24.
6.    Kisha utabonyeza OK.
Kama kuna mahali hapajaeleweka tafadhali usisite kuuliza kwa ku-comment...
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.
Thanks for your attention.
Thanks for visit this Blog.
Thanks for read this post.

Monday 16 April 2018

Habari…
Leo ningependa kuelekeza mbunu rahisi sana kama utakua makini, haiitaji uwe na computer ni simu yako tu ya mkononi(smartphone). Ni jinsi gani unaweza kupata wi-fi password ya sehemu yoyote kwa kutumia simu yako.
Fuatana nami hatua kwa hatua:-

1.    Download kwenye simu yako application hii Wi-Fi map kutoka play store.
2.    Washa wi-fi ya simu yako.
3.    Ifungue application (Wi-Fi map)
4.    Ukisha ifungua kwachini utaona majina ya wi-fi zilizokaribu nawe.
5.    Chagua wi-fi unayotaka kupata password zake.
6.    Kisha utabofya unlock password.
Mpaka kufikia hapo password zitakua zimesha funguka, pia unaweza ku-search wi-fi za eneo lolote sio lazima uwe karibu napo. Ili Kufanya hivyo:
·         Nenda kwenye alama ya search upande wa kulia juu kabisa.
·         Search eneo unalotaka, kisha utaona wi-fi zilizo on kwenye eneo hilo.
·         Baada ya hapo kama kawaida fuata maelekezo ya juu.

NB:

Muda mwengine app hii inatoa password zisizo sahihi kwahiyo itabidi ujaributena baadae itakupa password za kweli.

Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.
Thanks for your attention.
Thanks for visit this blog.
Thanks for read this post.

Saturday 14 April 2018




Habari…
Katika tutorial hii ningependa kukuelekeza ni jinsi gani unaweza kudukua/ku-hack simu ya mtu wako wa karibu (mpenzi, rafiki, mwanao nk) bila ya mwenyewe kujua. Copy9 app ndio app unayoweza kufanikisha yote hayo, itakupatia SMS, call history, GPS history bure kabisa, pamoja na sms kutoka kwenye mitandao ya kijamii ila kwa huduma hii itabidi ulipie.

Vitu vinavyo hitajika:-
·         Copy9 app
·         Simu(smartphone) ya mtu mlengwa
·         Smartphone nyengine au computer.

Hatua za kufuata:-
1.    Download copy9 app na install kwenye simu ya mlengwa wako.
2.    Copy9 app itakapo maliza ku-install ifungue.
3.    Bonyeza register new account ili kusajili account mpya ya copy9 app.
4.    Kubali terms and conditions za copy9 app kwa kubonyeza neno Agree.
5.    kisha tengeneza account mpya.
6.    Itakuletea kibox cha ujumbe kuhusu privacy guard weka tick kwenye remember my choice alafu utabofya Allow.
7.    Bonyeza kwenye activate this device ili kuiruhusu application ianze kufanya kaza yake.
8.    Kisha bonyeza kwenye configuration..
9.    Bonyeza kwenye hide icon copy9 kisha bofya Yes ili kuondoa app ya copy9 kwenye menu ya simu mwenye simu asije akaiona. Mpaka hapo utakua ushamalizana na simu ya mlengwa wako unaweza ukamrudishia…
10. Fungua my.copy9.com  kwenye browser ya simu nyengine au computer.
11. Kisha log in kwa kutumia account uliyo tengeneza kwenye simu ya mlengwa wako
12. Sasa utaweza kuona jina la simu ya mlengwa wako pamoja na GPS history,SMS history, call history na auto answer kwenye my dashboard upande wakulia.
13. Bonyeza unachopenda kukitazama kwenye simu ya mlengwa wako..
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.
Thanks for your attention.
Thanks for visit this website.
Thanks for read this post.




matumaini yangu ni mzima wa afya..
Leo ntaelekeza ni namna gani unaweza ku-install window 7 kwenye simu yako ya mkononi, najua itakushangaza sana ila nirahisi mno kinachoitajika ni umakini wako tu katika kufuata hatua zifuatazo:-
1.    Download app hii Android windows, unaweza ukatumia browser yoyote ya simu yako, ukaingia Google na kui-search app hii ukaipata.
2.    Kabla ya kuinstall unatakiwa kuweka on Unknown sources, kwa kwenda kwenye Settings ya simu yako >nenda kwenye security >shuka chini kisha utaweka tick kwenye Unknown sourses, baada ya hapo nenda uka-install app yetu ya Android windows.
3.    Ikisha maliza ku-install ifungue kwa kubofya Open, mpaka kufikia hapo utakua ushakamilisha zoezi letu, simu ako itakua na muonekano wa Window 7
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.
Thanks for your attention.
Thanks for visit this website.
Thanks for read this post.



Fungua  Notepad kisha andika au copy and paste command ifuatayo:-

@Echo off
Ipconfig/release

Save as Tzhacker.bat unaweza ukasave kwa kutumia jina lolote ila cha muhimu ni  .bat,  (Something.bat)
Kisha mtumie mtu unaetaka kumuharibia internet ya computer yake (your victim), pindi atakapo lifungua hili file IP address ya computer yake itapotea

Jinsi ya kuodoa tatizo hili
Kuondoa tatizo hili ni rahisi sana chakufanya:
Fungua notepad kisha andika command ifuatayo:-

IPconfig/renew

Save it as anyname.bat
Kisha ifungue kwa kudouble click tatizo litakua limekwisha….
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.

Thanks for your attention.
Thanks for visit this website.
Thanks for read this post.


Habari…
Natumaini ni mzima wa afya.
Leo nimewaandalia kipindi kizuri wadau wangu natumaini mtakipenda. Ni namna gani unaweza ku-hack account ya facebook, gmail pamoja na youtube account na ukapata password na user name kwa urahisi kabisa, ila ntaelekeza ku-hack facebook account na unaweza kutumia njia hio hio ku-hack na account nyinginezo kama gmail na youtube kwani process ni zile zile tu..
Ili kufanikisha fuata hatua zifuatazo:-
1.    Ingia Google kwa kutumia browser ya computer yako.
2.    Kasha search z shadow
3.    Baada ya ku-search nenda kwenye z-shadow.us: home.  Website ya z shadow itafunguka.
4.    Bonyeza kwenye sign up ili kutengeneza account yako ya z shadow.
5.    Ukisha maliza ku sign up uta log in kwenye account yako ulio tengeneza.
6.    Ukisha log in utaona account mbalimbali kama facebook, gmail, youtube nk. Hapo utachagua page unayotaka ku-hack.
7.    Kasha uta-copy link in English.
8.    Mtumie mtu yeyote unaetaka kum-hack, kwa ku-paste link uliyo i-copy kwenye sehemu ya kuandika sms, (kupitia mitandao ya kijamii).
9.    Mshawishi kwa njia yoyote afungue ile link na a-log in.
10. Atakapofungua ile link itampeleka kwenye sehemu yaku log in. (kama uli-copy link ya facebook itampeleka kwenye page ya facebook na kama ni ya gmail nayo itampeleka  katika page ya gmail). Pindi tu atakapo log in password na user name zitaji-copy na kwenda moja kwa moja kwenye ile account yako uliyotengenza ya z shadow.
11. Baada ya hap[o chakufanya ni kutembelea account yako ya z shadow > click kweny my victims utakuta password na user name za watu wote walio log in kwenye link uliyo watumia..
Natumaini nimeeleweka na kama kuna mahali panakutatiza tafadhali usisite kuuliza kwa ku-comment ntakapoona comment yako ntakujibu
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.

Thanks for your attention.
Thanks for visit this page.
Thanks for read this post.

A call-to-action text Contact us