Matumaini yangu ni mzima wa afya…
Leo nina somo dogo tu na rahisi mno. Ni namna gani
unaweza ukaongeza kasi ya ku-download kwenye IDM.. Kama huna software hii ya
IDM basi ni vizuri ukaitafuta kwani inamsaada mkubwa kwenye masuala ya
ku-download, nakama unayo naunaitaji kuongeza kasi ya ku-download kwenye IDM
yako basi fuata hatua zifuatazo:-
1. Fungua program ya IDM.
2. Kisha bofya kwenye Options.
3. Baada ya hapo utachagua connection.
4. Kisha kwenye connection
type speed chagua High speed: Direct
connection (Ethernet/Cable) / Wi-Fi / Mobile 4G / other.
5. Kisha kwenye
defaelt max. conn. Number chagua 24.
6. Kisha utabonyeza OK.
Kama kuna mahali hapajaeleweka tafadhali usisite kuuliza kwa ku-comment...
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.
Thanks
for your attention.
Thanks
for visit this Blog.
Thanks
for read this post.
0 comentários:
Post a Comment