NJIA
YA KWANZA:
1. Fungua
cmd run as administrator. Ili
kufanya ivyo…
·
Bofya Start
Key kisha andika cmd.
·
Right click cmd kisha bonyeza run as administrator.
2. Kisha
andika kwenye cmd code zifuatazo:-
attrib -h -s -r -a /s /d
Drive-Name:*.*
kisha bofya Enter.
Mpaka hapo utaona cmd inaanza kuscan driver uliyo ichagua
nakuondoa shortcut virus zote.
Mfano nataka kuondoa virus kwenye drive H. code zangu
zitakoa hivi:
attrib
-h -s -r -a /s /d H:*.*
kisha ntabofya Enter…
kama ikishindikana kuondoa shortcut virus kwa kutumia cmd
jaribu njia ya pili kwa kutumia notepad.
NJIA
YA PILI:
Toa Shotcut virus kwa .bat file unaweza tengeneza .bat
file kwa kutumia Notepad katika computer yako, Fungua Notepad kwa ku-bofya window key + R kisha andika Notepad alafu utabonyeza Enter. Copy code hapa
chini kisha paste kwenye Notepad
@echo off
attrib -h -s -r -a /s /d
Drive-Name:*.*
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
attrib -h -s -r -a /s /d
Drive-Name:*.*
@echo complete
Badilisha Driver name kwa
jina la flash yako
Save notepad file kama removevirus.bat kisha save. Hakikisha umesave file yako
kwenye ya desktop
Kisha fungua file yako uliyo
save katika Desktop kwa ku-double click,
Baada ya hapo shotcut virus wote watatoka.
Imeandaliwa na Mr_Lewis.
Thanks
for your attention.
Thanks
for visit this Blog.
Thanks
for read this post.
0 comentários:
Post a Comment