:::: MENU ::::
  • Suitable for all screen sizes

  • Easy to Customize

  • Customizable fonts.

Monday, 4 June 2018

Ni raisi sana kuiset smartphone yako iwe kama CCTV camera, IPwebcam ndio suluisho la tatizo ilo. Fatana name mpaka mwisho wa Tutorial hii. IPwebcam is easily the best of the lot because it works through your browser, which gives it the cross platform compatibility.
Ili kuset simu yako iwe kama security camera (CCTV camera) fuata hatua zifuatazo:-To set up a security camera on android, follow these steps:-
1. Connect computer yako pamoja na smart phone kwa kutumia WI-FI Network
2. Install application ya IPWebcam kutoka google play store kwenye smart phone yako. 
3. Funga applications zote zinazotumia camera kwenye sim yako kwenye app switcher kabla ya kuendelea na hatua nyenginezo.
4. Launch application ya ipwebcam na ushuke mpaka chini kasha bunyeza start server. 
5. App itafunguka na itakuonyesha URL. Our URL was http:// 172.32.15.110:8080.
6. URL uliopewa kwenye ipwebcam ingiza kwenye browser ya computer yako sehem ya URL kasha bonyeza enter.
7. Itafunguka browser kasha utaona sehem imeandikwa video render, utaselect browser.
8. Chini ya video render utaona audio render, apo utaselect HTML wav.

Apo utakua ushamaliza sasa utaona live video kwenye browser. Vilevile unaweza kurecord video kwa kutumia browser. Kufanya ivo bofya kwenye red record button chini ya video. Kwa kutazama video itakayo recordiwa kwanza unatakiwa kudownload VLC media player kwenye computer yako.

0 comentários:

Post a Comment

A call-to-action text Contact us