Habari…
Leo ningependa kuelekeza mbunu rahisi sana kama utakua
makini, haiitaji uwe na computer ni simu yako tu ya mkononi(smartphone). Ni
jinsi gani unaweza kupata wi-fi password ya sehemu yoyote kwa kutumia simu
yako.
Fuatana nami hatua kwa hatua:-
1. Download
kwenye simu yako application hii Wi-Fi
map kutoka play store.
2. Washa
wi-fi ya simu yako.
3. Ifungue
application (Wi-Fi map)
4. Ukisha
ifungua kwachini utaona majina ya wi-fi zilizokaribu nawe.
5. Chagua
wi-fi unayotaka kupata password zake.
6. Kisha
utabofya unlock password.
Mpaka kufikia hapo password zitakua zimesha funguka, pia
unaweza ku-search wi-fi za eneo lolote sio lazima uwe karibu napo. Ili Kufanya
hivyo:
·
Nenda kwenye alama ya search upande wa kulia juu kabisa.
·
Search eneo unalotaka, kisha utaona wi-fi
zilizo on kwenye eneo hilo.
·
Baada ya hapo kama kawaida fuata maelekezo ya
juu.
NB:
Muda mwengine app hii inatoa password zisizo sahihi
kwahiyo itabidi ujaributena baadae itakupa password za kweli.
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.
Thanks
for your attention.
Thanks
for visit this blog.
Thanks
for read this post.
Sio kweli
ReplyDeleteKwann sio kwel
DeleteKwann sio kwel
DeleteVizhrii
ReplyDeletePos initiating man
ReplyDeletePos man
ReplyDelete