matumaini yangu ni mzima wa
afya..
Leo ntaelekeza ni namna gani
unaweza ku-install window 7 kwenye simu yako ya mkononi, najua itakushangaza
sana ila nirahisi mno kinachoitajika ni umakini wako tu katika kufuata hatua
zifuatazo:-
1.
Download app hii Android windows, unaweza ukatumia browser yoyote ya simu yako,
ukaingia Google na kui-search app
hii ukaipata.
2.
Kabla ya kuinstall unatakiwa kuweka on Unknown sources, kwa kwenda kwenye Settings ya simu yako >nenda kwenye security >shuka chini kisha utaweka
tick kwenye Unknown sourses, baada
ya hapo nenda uka-install app yetu ya Android
windows.
3. Ikisha
maliza ku-install ifungue kwa kubofya Open,
mpaka kufikia hapo utakua ushakamilisha zoezi letu, simu ako itakua na
muonekano wa Window 7
Imeandaliwa na Admin Mr_Lewis.
Thanks
for your attention.
Thanks
for visit this website.
Thanks
for read this post.
0 comentários:
Post a Comment