Kubadili IMEI ya simu ni huduma unayoweza kuifanya kwenye simu ambazo ni rooted na ambazo hazija fanyiwa rooting. Leo nitawaonyesha jinsi ya kubadili IMEI kwenye simu ambazo hazija fanyiwa root, ila inaweza kuleta madhara pindi utakapo kosea hatua ninazo onyesha hapa,so be careful.
Jinsi ya kubadili IMEI ya simu bila ku-root simu yako:-
1. Download and install app ya mobile uncle app kutoka playstore kwenye simu yako
2. Ikishamaliza ku-install fungua mobile uncle app
3. Kisha chagua Engineering mode (MTK)
4. Shuka chini kisha bonyoza CDS Information
5. Chagua Radio information.
6. Ukisha chagua radio information utakuta option mbilihapo utachagua “Phone 2”
7. Baada ya hapo utaona option kama hii AT, Apo utaingiza AT (IMEI namba mpya) mfano (AT 000000000000000) ziwe tarakimu 15
8. Kisha bofya Send at command
9. Restart simu yako
Baada ya hapo utakuwa umefanikisha zoezi la kubadili IMEI ya simu yako unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha kwa kupiga *#06#...
Try at your own risk
Kwani ukifanya hivi kwenye simu ambazo zimefungiwa na TCRA kwa kuwa ni fake utakua umevunja sheria za TCRA mimi sitahusika. Nimetoa njia hii ni kwa kujifunza tu…
Imeandalwa na Lewis.